Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Post no ngapi mkuu?Aliweka maua, mioyo, kisses. Ushambamba!
Post no ngapi mkuu?Aliweka maua, mioyo, kisses. Ushambamba!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiii sio yeye wanamsingizia
Numbisa za asubuhiNimeangalia hamna hata moja acha hizo nahisi na wengine hauwapi
Hahaa kuna jamii kama wachina ni nyamaSi nyama
Salama mzee mkubwa ngoja niwaachie kijitikelvin marcus za asubuhi
Niko salama mkuu. Kwema huko. Nimeona SPOILER yako nikajua tu kumekucha!SHIMBA YA BUYENZE umeamkaje
ISIS za asubuhiAshindwe na alegee ! Walahi
Ulishaijaribu?Si nyama
Ngoja nijaribu kukuangalizia!Post no ngapi mkuu?
Cole Williams za asubuhiQuigley jana sammyluv kakusaka sana
Ndiyo kaniita niendeKibiti mbona siku hizi poa tu? Kichwa mbona yupo tu anadunda?