GeJo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 1,716
- 12,646
Asante kwa kunihakikishiaUsiwe na wasiwasi. Nenda!
Asante kwa kunihakikishiaUsiwe na wasiwasi. Nenda!
Kw vile una ng'ombe hakuna shida!Jitahidi mkuu, nimekamatwa pabaya na huyu dadako sammyluv
Hahaha vipi,ushawahi kula?Numbisaaaaa???
Mine[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Yap! That's him [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kw vile una ng'ombe hakuna shida!
DadaMine[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Ukiipata iliyokaangwa vizuri wala huwezi kujua kama unakula nyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]No naiogopa
Na ya kono kono pia hahaSiku nikitia guu Uchina itanikoma [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana nitamjua tuUkiipata iliyokaangwa vizuri wala huwezi kujua kama unakula nyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha ndiyo tumevuta viti tukaePungueni basi niondoke
Yes. AND YOURS ALONE FOR EVER AND EVER !!!Mine[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Unaleta utanga eee
Jaman ntakosa ka hela mieHahaha ndiyo tumevuta viti tukae
Piga kazi upate hela ya bundle tusije tukakukosaKuna kazi ipo pending kisa likes za humu jaman