Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4f16cf0d72b64e77676200202e092108.jpg
 
Hahaahah niliona hii story uliandika ukanikumbusha kinaijeria kimoja aki(yule pacha wa kimaigizo wa ukwa) alikua mpishi akapika pilau bomba sana wagen waliomtembelea boss wake wakaisifia sana wakaomba kuonana na mpishi walipomuuliza ni nyama ya nn hiyo mbona tamu sana akawajibu ya mbwa kairost vizur weee mlango ulikua mdogo kila mmoja akitaka kumrarua mpishi
Konokono nilishawahi kuwala New Orleans Louisiana. Supu nzito tamu yenye kuleta usingizi for almost two weeks imechanganywa na crabs na scallops. We acha tu!
 
Back
Top Bottom