Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Stay blessed
HahahahaWAKUU KIDOGO NINA UPUNGUFU WA MB NDO MANA SIONEKANI KIASI.
Ila tuko pamoja katika kumkimbiza mwizi kimya kimya.[emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah leo lazima aje hapaMkuu. Sijaweza kuzipata post za dada. Ila ni kama nilivyokwambia. Hongera sana!
Ndo maana tukaambiwa kimtiacho mtu unajisi si kiingiacho bali kitokacho! Si vibaya kujaribu vyakula tofauti tofauti!Hahaahah niliona hii story uliandika ukanikumbusha kinaijeria kimoja aki(yule pacha wa kimaigizo wa ukwa) alikua mpishi akapika pilau bomba sana wagen waliomtembelea boss wake wakaisifia sana wakaomba kuonana na mpishi walipomuuliza ni nyama ya nn hiyo mbona tamu sana akawajibu ya mbwa kairost vizur weee mlango ulikua mdogo kila mmoja akitaka kumrarua mpishi
Nice oneNdo maana tukaambiwa kimtiacho mtu unajisi si kiingiacho bali kitokacho! Si vibaya kujaribu vyakula tofauti tofauti!
Amun ra means what Isis?9:09
AMUN RA
Judge number 54