Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2016-Luxury-font-b-Vintage-b-font-Women-7CM-High-Heels-Birdcage-Flowers-Heel-Ankle-Buckle.jpg
 
Very Interesting Indeed.[emoji4][emoji4][emoji4]

30 PLAYERS WITH MOST PREMIER LEAGUE MEDAL
1. Ryan Giggs (Manchester United) = 13
2. Paul Scholes (Manchester United) = 11
3. Gary Neville (Manchester United) = 8
4. Denis Irwin (Manchester United) =7
5. Roy Keane (Manchester United) = 6
6. David Beckham (Manchester United) = 6
7. Nicky Butt (Manchester United) = 6
8. Phil Neville (Manchester United) = 6
9. Ole Gunnar Solskjaer (Manchester United) = 6
10. Rio Ferdinard (Manchester United) = 6
11. Peter Schmeichel (Manchester United) = 5
12. Andrew Cole (Manchester United) =5
13. Wes Brown (Manchester United = 5
14. John O'Shea (Manchester United) = 5
15. Wayne Rooney (Manchester United) = 5
16. Patrice Evra (Manchester United) = 5
17. Nemenja Vidic (Manchester United) = 5
18. Darren Fletcher (Manchester United) = 5
19. Michael Carrick (Manchester United) = 5
20. Brian McClair (Manchester United) = 4
21. Eric Cantona (Manchester United) = 4
22. Gary Pallister (Manchester United) = 4
23. Silvestre Michael (Manchester United) = 4
24. Edwin Van Der Sar (Manchester United) = 4
25. Park Ji-Sung (Manchester United) = 4
26. Anderson (Manchester United) = 4
27. Luis Nani (Manchester United) = 4
28. Tomas Kuschak (Manchester United) = 4
29. John Terry (Chelsea) = 4
30. Didier Drogba (Chelsea) = 4
One needs to play for Manutd to enjoy those accolades in soccer
 
[emoji117]Kulikuwa na mfalme mmoja aliyekuwa na mbwa kumi wakali sana. Alipenda kuwatumia mbwa hawa pindi akitaka kumuadhibu mtumwa aliyekosea.

[emoji117]Mbwa hawa waliwatesa watumwa kwa kuwararua na meno yao makali! Wakati mwingine watumwa waliokutana na adhabu hii walipoteza uhai.

[emoji117]Siku moja mtumwa aliyemtumikia mfalme kwa miaka kumi alitoa wazo baya ambalo halikumpendeza mfalme, ikaamriwa akamatwe na kutupwa katika banda la mbwa.

[emoji117]Mtumwa alinung'unika na kusema :"nimekutumikia kwa miaka 10, na leo wanitenda hivi? Naomba unipe walau siku 10 kabla hujanitupa bandani! " Mfalme akakubali.

[emoji117]Katika siku hizo 10, mtumwa alimfuata mlinzi wa banda la mbwa na kumuomba ampe nafasi ya kuwahudumia mbwa wale. Mlinzi alistaajabu ila akakubali. Mara moja mtumwa akaanza kazi ya kuwapa mbwa chakula, kuwaogesha na kila aina ya faraja ambazo wanyama huhitaji.

[emoji117]Siku 10 zikaisha, mfalme akaamuru mtumwa atupwe bandani kutumikia adhabu yake.

[emoji117]Hilo likafanyika kwa haraka, lakini cha kushangaza mbwa walianza kulamba miguu ya mtumwa na si kumrarua kama ilivyotegemewa. Mfalme akastaajabu, akasema:"Nini kimewasibu mbwa wangu? ",.

[emoji117]Mtumwa akajibu :" nimewahudumia mbwa hawa kwa siku 10 tu na hawajasahau fadhila zangu.
Lakini kwa upande wako nimekutumikia miaka 10, hata hivyo umesahau yote kwa sababu ya kosa moja tu! " Kufikia hapo mfalme akatambua kosa lake na akaamuru mtumwa aachiwe huru.

[emoji117]Katika maisha kuna watu husahau mambo mema waliyotendewa na wengine pindi wakikosewa.

[emoji117]Kamwe usiruhusu historia nzuri kufutika sababu ya jambo moja usilolipenda! Tembea katika msamaha kila wakati.

Mungu Awabariki wote.

Umejifunza nini? Ukipenda unaweza kushare ili wengi wapate kujifunza
 
Back
Top Bottom