Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

blaisepascal131516.jpg
 
Sijapotea wala nini,endelea kuniombea mabaya na nita yashinda kabisa. Habari zenu wakuu,mimi nipo wa afya tele,simu haijaibwa na location nilipo ina julikana.Nimeamua kuburudika kwa Ku like tu.Kwa maana nyingine nime Rest In Peace[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] (kidhungu cha mdhungu,yaani nimejipumzisha kwa leo)

Sent using Jamii Forums mobile app
Ume Rest In Peace[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom