Asante sana kamandaAsanteni sana
Kama kawaida mkuuMpo mnagonga likes
15:3914:53
WaleeeeWanalikes
Habari za alasiriHabari za mchana huu
Punguza sauti kidogo usifaidishe wengiHahahaha
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
S. ANelson Mandela
KenyaJomo Kenyatta
TanzaniaJulius Kambarage Nyerere
Mkuu kupotea njia ya kwenda sehemu fulani si dhambi we tuambie ukweli ulipotea au laaa?Sijapotea wala nini,endelea kuniombea mabaya na nita yashinda kabisa. Habari zenu wakuu,mimi nipo wa afya tele,simu haijaibwa na location nilipo ina julikana.Nimeamua kuburudika kwa Ku like tu.Kwa maana nyingine nime Rest In Peace[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] (kidhungu cha mdhungu,yaani nimejipumzisha kwa leo)
Sent using Jamii Forums mobile app
15:4615:44
carbamazepine nimesikia yupo somaliaHahahaha
Mzima kabisa nipo tayar kupokea kero kwa wakuu... Karibuni sanaMwenyekiti salama
Za siku mbili tatu...Mi mzima
Za siku mbili tatu kwema kabisa.Za siku mbili tatu...