Niamini,halafu anaongea saaaaana...simuwezi.Hata umkwaze vipi hajui kutoa chozi,yeye kupayuka tu...nayataka mie hayo!!!? Akha!!!! Nimekuzoea wewe tu,chozi lako hukutoka bila hata ya sababuMweh mweh jamani
Tena waambie wajue kbs na mm niponsamaka nimwachie nani? Ushindwe kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Heee nyie vipi mbona siwaelewi.Eti umesemaje vile[emoji23][emoji23][emoji23]mimi nyuki wa mashine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiandae sasa
Mie leo siondoki[emoji23][emoji23]kumbe unaogopa eeh[emoji23][emoji23]subiri aondoke sasa uone
HahahahaAcha kumsingizia huko[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc carbaNiamini,halafu anaongea saaaaana...simuwezi.Hata umkwaze vipi hajui kutoa chozi,yeye kupayuka tu...nayataka mie hayo!!!? Akha!!!! Nimekuzoea wewe tu,chozi lako hukutoka bila hata ya sababu
[emoji23][emoji23][emoji23]sijui kulia mimi najua kucheka tuNiamini,halafu anaongea saaaaana...simuwezi.Hata umkwaze vipi hajui kutoa chozi,yeye kupayuka tu...nayataka mie hayo!!!? Akha!!!! Nimekuzoea wewe tu,chozi lako hukutoka bila hata ya sababu
Acha wasiwasi bibie me nyuki wa mashineni bhana[emoji23][emoji23]sijui kung'ataHeee nyie vipi mbona siwaelewi.
OoohooooMie leo siondoki
Sawa kabisa.Siku zote nakuambiaga uwe mkali.Ukimhisi binti mchepuko wangu,mpige tu.Nipo wa kukuhakikishia kama atabishaKuanzia sasa naomba utambue uwepo wangu
HehehehehAcha wasiwasi bibie me nyuki wa mashineni bhana[emoji23][emoji23]sijui kung'ata
I will give you[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli leo umerudi kivingine[emoji23][emoji23][emoji23]utamfanya asibadili kuogopa maneno yako ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tena mwambie anipe hela nyingi[emoji6][emoji6]
Hahahaah haya carba ujumbe huo ukufikie popote ulipoSawa kabisa.Siku zote nakuambiaga uwe mkali.Ukimhisi binti mchepuko wangu,mpige tu.Nipo wa kukuhakikishia kama atabisha
Nibaki kufanya nini? Akiaga naaga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]kumbe unaogopa eeh[emoji23][emoji23]subiri aondoke sasa uone
And am truly happy love[emoji8][emoji8][emoji8]I will give you
Whatever is necessary
To make you happy
My love [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
Mumeo anajisemeza tu hapa kwakua upo hana lolote[emoji23][emoji23][emoji23]we ushangai kwanini ananikemea sana nishindwe[emoji23][emoji23]ukiona hivyo nishamshinda huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...acha nirudi kwa Cole wangu mimiHahahaah haya carba ujumbe huo ukufikie popote ulipo
Kama unajiamini baki uone[emoji23][emoji23][emoji23]kama hajakuta manyoya hapa[emoji125] [emoji125] [emoji125]sina maana hiyooooNibaki kufanya nini? Akiaga naaga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weeee!!! Hela mama,helaaa.,..usijali maneno yangu hata kwenye kanga yapo.Hela zipo na wapi??? Haya mimi naondoka naenda kutafuta hela.Ishi na mimi kwa ubabe,sawa mama?Haya nakubali kuacha kazi kuanzia sasa. Natangaza kustaafu kwa hiari