mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kwa kosa lipi nilikuwa busy sana Jana sikupitia local news na huku JF nikiingia kwenye malike tu[HASHTAG]#BREAKINGNEWS[/HASHTAG] Mh. Tundu Lissu amekamatwa jioni hii akiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa DAR akielekea Kigali kwenye mkutano wala marais wa vyama vya mawakili Afrika mashariki. .