Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ha ha haaa kishwahili kigumu... ila sikuwahi kuzifeli kwenye mitihani.

Huwa nawaandikia kuwa ni c&p
Kama hutojali, ni kitabu gani hicho unakozitoa? Napenda sana mambo haya ya lugha na utamaduni. Kuna mwanafunzi kutoka Leipzig University nilikutana naye mwaka jana alikuwa anaandika Tasnifu ya Uzamivu kuhusu Methali za Kiswahili na Mabadiliko ya Jamii. Aliposikia mi Mtanzania basi akanipa tasnifu yake niisome. Nilikutana na methali nzito za Lamu huko utafikiri siyo Kiswahili. Alikuwa anasimamiwa na gwiji wa Kiswahili asilia Mzee Abdilatif Abdallah kutoka Kenya.

Nina interest nazo sana ndiyo maana naulizia source. Asante!
 
Back
Top Bottom