Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Naanza utandabui
Kuna mdau sijui yukoje... haniseni sijui nani ..alimsukuma sana hadi akawa anamjibu.. alimwandikia maneno machafu sana hadi kumtukania wazazi.
Hivi yule mwingine aliyekuwa anapatikana hapa 24hrs yuko wapi?Hivi ukila Ban ukirudi
Unarud na likes zako
Na yule jamaa mwingine?
Je
SadKuna mdau sijui yukoje... haniseni sijui nani ..alimsukuma sana hadi akawa anamjibu.. alimwandikia maneno machafu sana hadi kumtukania wazazi.
HahahahaLeo sijui nipike au nisipike?
ImeanzaHehehehehe weekend
YesGonga likes kama kawaida