Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-07-21-18-27-46.png
 
Iko hivi baada ya
Kuanza safari, nili wasiliana na ISIS akunijibu ss kwa kuwa sherehe yetu ni next week 27/7 nikaona si vyema nikapitia pete. Na kufanya arrangement za kumleta bruno Mars kwenye harusi yetu ivo my love [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] zepine
Bro, tetesi zinasema huyo mtumbuizaji siyo ridhiki [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Mkuu, toa Wasukuma hapo na weka kabila lako halafu utafakari kama utakuwa sahihi ku-generalize tabia za watu 13+ milioni kwa kutumia mfano wa mtu mmoja. Kwa nini asitazamwe kama yeye binafsi badala ya kutumia kokoro la kabila?

Rais huyu, kama vile alivyo Trump, ni watu unique wasio na tabia ya kumung'unya maneno. Wanasema tu kinachowajia akilini mwao na wanachokiamini bila kujali athari zake kwa hadhira. Hakuna mbwembwe na kupaka watu mafuta mgongo wa chupa. Na hili halijazoeleka ndo maana watu wengi wanashangazwa...

Siasa naona zinatufuata mpaka huku....[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Well said, and thought out
 
Back
Top Bottom