Tyrone mofekeng
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 694
- 613
Tunashukuru kuimaliza week.Shukrani sana Mkuu, heshima kwako pia Mkuu. Vipi weekend Mkuu?
Numbisa kapigwa ban? Why?Aliyestahili kufungiwa ni huyo aliyeanza kumtusi Numbisa na siyo Numbisa.
Nafikiri mods waliangalia first post
Source ni picha ya IG yule dada akimsema Zari
Numbisa alipost jinsi ilivyo lakini kulikuwa na matusi nafikiri
MitusiNumbisa kapigwa ban? Why?
Cheka kwa dharua kwa sauti ya tandabui[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we Mzee unanipa raha sana
[emoji23][emoji23][emoji23]niagizie jibapa nakuja...mzima lakini?Kusikia haya maneno moyo wangu unaenda mwelemwele mwelemwele. (Sauti ya SENGA)
Kiongozi habari yakoTumemiss sana humu
Haina ukomo
Tunashukuru kuimaliza week.
Weekend ndio tunaipokea kwa mikono miwili kabisa.
Ila yale matusiMatusi niliyaona Mkuu, ila kama sikosei Numbisa hakuanza kurusha matusi.
Kwa tunaofatilia post za Numbisa hua analeta picha na maelezo sasa watu hawakuelewa wakaanza kitoa povu la foma gold na kumtukana juu...Nafikiri mods waliangalia first post
Source ni picha ya IG yule dada akimsema Zari
Numbisa alipost jinsi ilivyo lakini kulikuwa na matusi nafikiri
Mi mzima kabisa mkuuNjema nawe je
AMUN RAIn other words wewe u mtiwa mafuta!
Kwa kishindoImeanza
We lia tu na leo nje pale panakuhusu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]