[emoji106] [emoji106]hahaaaa kweli kabisa
Tunajipanga na wakati wa kujipanga makosa hutokea ndugu yangu, tusamehe bure!Nyie members wa humu jiaminini bana,kila saa mnawataja makapuku halafu wenyewe walaa hawana mpango nanyi.
UKITAKA MAENDELEO PUNGUZA KIJICHO KWA MWENZIO,HUU NI UZI WA KUPEANA LIKE SIO KUPEANA sympathy KISA MAKAPUKU.
WALE NI WATU POA SANA MKIWAJULIA SIO WAGOMVI. TUJALI YA KUMWAGIANA LIKE
Kazi za kujenga Taifa letu.Pokea likes ,kesho ni siku ya kazi.
MuraaTarime
Boss hapa like hupati[emoji23][emoji23]*****
HahahahaUlikuwa wapi watu tumevimba madole
Yah, huu ndio utaratibu wetu.Rudi posti za nyuma toa likes za kutosha alafu uje hapa mbele tukupe haki yako
HiyoTupaena tu likes
Pata LIKE yako mkuu!!Tarime
Musoma