South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,513
- 5,144
Mimi hapaAmbaye hajapata likes ....alike hapa kwanza
Mimi hapaAmbaye hajapata likes ....alike hapa kwanza
Tunajipanga na wakati wa kujipanga makosa hutokea ndugu yangu, tusamehe bure!
OkYah, huu ndio utaratibu wetu.
Hahahahaaaa, ACACIA a.k.a WANAUMEHawataweza hii kitu imepitishwa na acacia
SjuiKwa nini
Well saidKujipanga bila kinyongo inakua vizuri mno. Tusitafute maadui kwa lazima.
Sawa Mkuu.Nyie members wa humu jiaminini bana,kila saa mnawataja makapuku halafu wenyewe walaa hawana mpango nanyi.
UKITAKA MAENDELEO PUNGUZA KIJICHO KWA MWENZIO,HUU NI UZI WA KUPEANA LIKE SIO KUPEANA sympathy KISA MAKAPUKU.
WALE NI WATU POA SANA MKIWAJULIA SIO WAGOMVI. TUJALI YA KUMWAGIANA LIKE
Hivi unakumbuka hata kula mkuu
Upepo wa pesa rusha malike pleaseLeo hata likija liccm nitalipa like saaafe kabisa!! Kwenye huu uzi siasa tumeweka pembeni!!
Mkuu nadhani hiyo ni uongo, ng'ombe wa babu yangu ana ndama wawili tena mapacha wa kufananaNg'ombe wa maskini hazai.
Asalam aley-kum sheikh...Mkuu The Bold nakusalimu
Hahahaahhaa Nabii wa like namlikeNi NABII wa LIKE
Naisubiria kwa hamu mkuu, usisahau kunitag...Leo mkuu.. Hopefull