Hahaha loh hatusemi basi.Wakuu baadae Nayajenga na Shemeji yenu carbamazepine si mnajua upendo wake kwangu ni zaidi ya likes [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
Asante mpenz wangu
Hahahah...GeJo......tenaGeJO please don't DESTROY My life please tena please.
Nasikia aligomaTundu apimwa mkojo na mkemia mkuu
Wabongo bhana Ngoma droo*[emoji66]: "Mpenzi, nakuomba uache kulewa"*
*[emoji67]: "poa, na wewe acha kutumia make up"*
*[emoji66]: "Mimi napaka make up ili unione mzuri"*
*[emoji67]: "Na mimi nalewa ili nikuone mzuri"*
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe ulitakaje kwa mfano
Karibu mkuuAm back
huu uzi ndo kiboko yao usibanduke