Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-07-21-19-32-42.png
 
Umenichekesha shemeji. Masikini hapo inabidi tu uende kwa Mchina. Halafu hata huyo unayehangaika kumfurahisha kesho na keshokutwa huyoo ana wengine. Na mbaya zaidi anaweza akakuacha wewe uliyeweka msambwanda wa bandia na kukimbilia kwa mwenye flat screen. Wanaume sisi kwa kweli hatujui tunachotaka!
Mapenzi kizunguzungu shemeji...unapopenda au kupendwa mpende mtu kwa jinsi alivyo na si vile unavyotaka awe mwishowe ndo tunaishia huku
 
Back
Top Bottom