Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shemeji unafikiri degree inafanya kazi ukishaona baby dady anapenda msambwanda??[emoji23][emoji23][emoji23]tena mbaya zaidi uwe flatscreen
Umenichekesha shemeji. Masikini hapo inabidi tu uende kwa Mchina. Halafu hata huyo unayehangaika kumfurahisha kesho na keshokutwa huyoo ana wengine. Na mbaya zaidi anaweza akakuacha wewe uliyeweka msambwanda wa bandia na kukimbilia kwa mwenye flat screen. Wanaume sisi kwa kweli hatujui tunachotaka!
 
5a0c155a609a7a02e0bae71745f1e65e.jpg
Wengi wao zamani walikua wazuri sana
 
Back
Top Bottom