Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro kulikuwa na matusi Mazito mpaka nikawa naona upako unaondoka. Yaani yule jamaa wa kiume eti anabishana na mdada ila. Taarabu alizokuwa anatoa nikashndwa nimwambie nini ili aache. Ujaona hizo post?? Ila bora usizione
Kwahiyo numbisa alikuwa anajibu mapigo ya matusi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…