GeJo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 1,716
- 12,646
HahahaHahahaha mtu anapigwa risasi ananyenyuka anakimbiza mtu, anagongwa na gari na bado yuko hai dah....
HahahaHahahaha mtu anapigwa risasi ananyenyuka anakimbiza mtu, anagongwa na gari na bado yuko hai dah....
Jamaa leo katujia na chup sorry picha ya mkewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wikendi. Wanawahi viwanja!Leo naona watu wanaaga mapemaa
Siku hizi kuna test zingine tena more reliable. Siyo lazima kukitwa dole!Kama sijakufyeka panga la kiuno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SawasawaWikendi. Wanawahi viwanja!
Unataka kuwa full oncologist au unataka kuspeshalaizi kwenye kutia mijibaba madole tu? Huna nia njema shemeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasomea kutibu tezi dume......
Mbona mapema sana?Mlale unono, Good night
Kuna yule mzee wa ikwiriri ni mgonjwa nataka kumtibuPole pole shemeji!
Uchovu tuMbona mapema sana?
Nimerejea baada ya masaa 2 ya mapumzikoHahhahaha pumzika kaka nimeingia now hapa post zinatetemeka zinaogopa kichapo cha likes
Hahahah weusi na heightKusema kweli acha tu nisiwe na furaha!![]()
Hapana shemeji. Wazungu hawa wana mambo ya ajabu sana. Hapo akienda kujibamiza kwenye miamba huko utaona helikopita hata tatu na waokoaji kibao zinakwenda kumtafuta. Sisi ukifanya ujinga huu unalo...Hahahah weusi na height