Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wenyewe wanaita eti alternative lifestyle. Japo ni haki yao kuishi wanavyotaka, kinachokera ni hii kampeni yao kuhalalisha hiyo alternative lifestyle yao dunuani kote. Na watu mashuhuri ndo wanatumiwa sana kwa sababu wao ni role models kwa watu wengi hasa matinejaz na watoto. Ni kasheshe!
Ujinga Tu
Na wana promote
Kweli ila huku Africa
Wanafeli labda huko kwao
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] sikuwai kuamini kama mapenz yanaweza nitoa machozi daaah [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Yani leo kale kamoyo kangu umekavunja sitaki kuamini[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] sikuwai kuamini kama mapenz yanaweza nitoa machozi daaah [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Bro, jikaze. Mijibaba midowezi ya hapa hata ukilia haisaidii kitu. Pambana bro. Kama ni kulia lia kwa siri ukiwa na shemeji faragha!
 
Wenyewe wanaita eti alternative lifestyle. Japo ni haki yao kuishi wanavyotaka, kinachokera ni hii kampeni yao kuhalalisha hiyo alternative lifestyle yao dunuani kote. Na watu mashuhuri ndo wanatumiwa sana kwa sababu wao ni role models kwa watu wengi hasa matinejaz na watoto. Ni kasheshe!

OOT

Yaani nilikuwa naangalia tena kwa google kuna methali nyingi kwa websites tofauti... bora ukachague ipi inakuvutua kusoma... sechi 'swahili proverbs' good luck
 
Back
Top Bottom