Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-07-21-18-23-39.png
 
Bro kulikuwa na matusi Mazito mpaka nikawa naona upako unaondoka. Yaani yule jamaa wa kiume eti anabishana na mdada ila. Taarabu alizokuwa anatoa nikashndwa nimwambie nini ili aache. Ujaona hizo post?? Ila bora usizione
Some people thrive on negativity. Na ligi za matusi mtandaoni humu (na kwingineko) mara nyingi huwa hazina mshindi.
 
Mkuu, toa Wasukuma hapo na weka kabila lako halafu utafakari kama utakuwa sahihi ku-generalize tabia za watu 13+ milioni kwa kutumia mfano wa mtu mmoja. Kwa nini asitazamwe kama yeye binafsi badala ya kutumia kokoro la kabila?

Rais huyu, kama vile alivyo Trump, ni watu unique wasio na tabia ya kumung'unya maneno. Wanasema tu kinachowajia akilini mwao na wanachokiamini bila kujali athari zake kwa hadhira. Hakuna mbwembwe na kupaka watu mafuta mgongo wa chupa. Na hili halijazoeleka ndo maana watu wengi wanashangazwa...

Siasa naona zinatufuata mpaka huku....[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
SIASA mmh, sawa pokea likes yako,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro kulikuwa na matusi Mazito mpaka nikawa naona upako unaondoka. Yaani yule jamaa wa kiume eti anabishana na mdada ila. Taarabu alizokuwa anatoa nikashndwa nimwambie nini ili aache. Ujaona hizo post?? Ila bora usizione
Mwanaume huwezi bishana na mwanamke,na ukiona mwanaume anabishana na mwanamke ujue kuna walakini kwenye kichwa chake
 
Wenyewe wanaita eti alternative lifestyle. Japo ni haki yao kuishi wanavyotaka, kinachokera ni hii kampeni yao kuhalalisha hiyo alternative lifestyle yao dunuani kote. Na watu mashuhuri ndo wanatumiwa sana kwa sababu wao ni role models kwa watu wengi hasa matinejaz na watoto. Ni kasheshe!
Aiseeeee kumbe!
 
Back
Top Bottom