moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wenyewe wanaita eti alternative lifestyle. Japo ni haki yao kuishi wanavyotaka, kinachokera ni hii kampeni yao kuhalalisha hiyo alternative lifestyle yao dunuani kote. Na watu mashuhuri ndo wanatumiwa sana kwa sababu wao ni role models kwa watu wengi hasa matinejaz na watoto. Ni kasheshe!Bro inawezekana Dunia ina
Mengi hii bro lakini kama kweli
Anafeli
Ni kweli kabisa hata Mimi nilishangaa mara kwanza lakini niliingia ndani zaidi nikakuta IG ndio sourceKwa tunaofatilia post za Numbisa hua analeta picha na maelezo sasa watu hawakuelewa wakaanza kitoa povu la foma gold na kumtukana juu...
Mkuu angalia post za nyuma humu humuMatusi hayo yalikuwa katika uzi huu au kwingine?