Is this the same person?
Juzi kwa mara yakwanza ndio nilimsikia kanyewa mdomo wote kwisha. Kumbe Madam alikuwa anamnyamazia tuEmmanuel Mbasha.
Kadhalilishwa sana huyu jamaa. Mara goigoi kitandani. Mara hana pesa. Mara kipaji cha uimbaji zero. Mara...Kosea kujenga aisee lakini usikosee wa kuoa!Emmanuel Mbasha.
Andaa ng'ombe siyo kujifaragua tu hata mahari hujatoa. Anyway, good night!Wapendwa usiku mwema Babe S ananihitaji
Ohooooo... ShemejiSiku hizi kuna test zingine tena more reliable. Siyo lazima kukitwa dole!
Haya bwashe. Nitawajulisha wanaukoo!Njooni mchukue
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mna-sky dive wapi?
Tena umenikumbusha. Ng'ombe za mahari umeshaandaa?
HahaaaaKadhalilishwa sana huyu jamaa. Mara goigoi kitandani. Mara hana pesa. Mara kipaji cha uimbaji zero. Mara...Kosea kujenga aisee lakini usikosee wa kuoa!