Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20170720-WA0016.jpg
 
Ohooooo... Shemeji
Sema shemeji. Dole sasa hivi ni hatua ya mwisho kabisa baada ya vipimo vy damu kuonyesha hali ya wasiwasi. Tezi dume na colon cancer zinaua wanaume wengi kutokana na vipimo vyake kuwa na utata. Wanasema wakiweza kupata vipimo ambavyo siyo invasive basi rate ya kupima itaongezeka na watakaopona watakuwa wengi pia!
 
Back
Top Bottom