myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
23:33
Hakuna cha bure mkuu. Binti tukulelee, tukutunzie na kukusomeshea mpaka Masters halafu we uje tu ubebe bure. Aisee haikubaliki kabisa. Na tunataka ng'ombe na siyo kitu kingine ala!![]()
Shemeji ana manyanyaso huyu
Bado uko kwetu huko au ulisharudi kule kwenye baridi? QUIGLEY jana au juzi alikuwa na moto sana humu wa kukutafuta. Maua, kisses, mioyo na vikolombwezo vingine vilimwagwa mpaka mabarabarani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwema kabisa uncle wako kaniharibia simu basi napata shida kweli ,sijamuona kabisa limupenzi langu QUIGLEY
Mkuu angalia usije ukabebeshwa kapu la uchochezi....
Tuliobaki mida hii basi tugawane likes kwa kasi mpya na nguvu mpya...Likes