myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mh!Ulisha wahi kukutana na dawa inaitwa Dandelion?? Hii kitu ina tibu tezi dume
Mh!Ulisha wahi kukutana na dawa inaitwa Dandelion?? Hii kitu ina tibu tezi dume
Andjil atakuja tuuWanaume tuna kiburi sana. Yaani mtu anauchuna tu kisa hataki kukitwa dole. Pamoja na hayo matibabu ya tezi dume ni delicate sana kwa sababu kosa kidogo tu jogoo halipandi mtungi tena. Na watu wanaona kuwa ni afadhali kufa na tai shingoni kuliko kuishi maisha ya uhanithi!
Asante sis. Always...Post nikuwekee likes za nguvu!
Chap chap!
Ina saidia sana tafuta online uone inavyofanya kazi
Inapatikana wapi hiyo dawa shemeji? Tatizo baadhi ya dawa zetu zimefungamanishwa na mambo ya imani. Kama kweli dawa hiyo ipo na inatibu basi pengine ama watu hawaijui au ina masharti mengine tata.Ulisha wahi kukutana na dawa inaitwa Dandelion?? Hii kitu ina tibu tezi dume