ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Kwa kweliTuliobaki mida hii basi tugawane likes kwa kasi mpya na nguvu mpya...
Hahahaha
Kwa kweliTuliobaki mida hii basi tugawane likes kwa kasi mpya na nguvu mpya...
Post nikuwekee likes za nguvu!Leo kumedorora mapema humu. Ngoja na mimi nisepe aisee...
Anza na yanguTuliobaki mida hii basi tugawane likes kwa kasi mpya na nguvu mpya...
mpe akalale nazo za kutoshaPost nikuwekee likes za nguvu!
Chap chap!
Yupmpe akalale nazo za kutosha
Sawa..Tuliobaki mida hii basi tugawane likes kwa kasi mpya na nguvu mpya...
chap chapAnza na yangu
Kama kawaCh
chap chap
Haki huinua Taifa
Ulisha wahi kukutana na dawa inaitwa Dandelion?? Hii kitu ina tibu tezi dumeSema shemeji. Dole sasa hivi ni hatua ya mwisho kabisa baada ya vipimo vy damu kuonyesha hali ya wasiwasi. Tezi dume na colon cancer zinaua wanaume wengi kutokana na vipimo vyake kuwa na utata. Wanasema wakiweza kupata vipimo ambavyo siyo invasive basi rate ya kupima itaongezeka na watakaopona watakuwa wengi pia!