Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sema shemeji. Dole sasa hivi ni hatua ya mwisho kabisa baada ya vipimo vy damu kuonyesha hali ya wasiwasi. Tezi dume na colon cancer zinaua wanaume wengi kutokana na vipimo vyake kuwa na utata. Wanasema wakiweza kupata vipimo ambavyo siyo invasive basi rate ya kupima itaongezeka na watakaopona watakuwa wengi pia!
Afadhali sasa,maana ile ya kuzamishiwa limdole [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Afadhali sasa,maana ile ya kuzamishiwa limdole [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanaume tuna kiburi sana. Yaani mtu anauchuna tu kisa hataki kukitwa dole. Pamoja na hayo matibabu ya tezi dume ni delicate sana kwa sababu kosa kidogo tu jogoo halipandi mtungi tena. Na watu wanaona kuwa ni afadhali kufa na tai shingoni kuliko kuishi maisha ya uhanithi!
 
Back
Top Bottom