carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
AminNawe pia mama, akawe na furaha isiyo na kifani
AminNawe pia mama, akawe na furaha isiyo na kifani
Daaah sio siri[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji105][emoji105]
Na sisi tunakupenda piaNawapenda wote
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji11][emoji11][emoji11]Daaah sio siri
Ni raha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hesabu zilinifanya niwe msolid hadi namaliza six sijui jinsi ya kucheka na demu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nicheke nani Ku prove answer imegoma,unahamia kwenye physics moja kwa moja kwenye UP upoze machungu na projectile... Loh!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo haujafua,haujaoga halafu kengele inagonga kwa ajili ya S/RSasa ulikuwa
Unacheka na
Nani
Kaka shimba ja mashiko bagheshiMna-sky dive wapi?
Tena umenikumbusha. Ng'ombe za mahari umeshaandaa?
Habari ya weekend, umepishana na carbaHey hey my peoples, habari za wkend. Haya aliepo shinyanga na yuko bored anicheck twende viwanja.
Ungesema mapema ningekujaHey hey my peoples, habari za wkend. Haya aliepo shinyanga na yuko bored anicheck twende viwanja.
Hata andjul itabidi aongeze kaka maana huduma zimekuwa nyingi.Hakuna cha bure mkuu. Binti tukulelee, tukutunzie na kukusomeshea mpaka Masters halafu we uje tu ubebe bure. Aisee haikubaliki kabisa. Na tunataka ng'ombe na siyo kitu kingine ala!
Nzuri tu,nimepishana nae wapi? Hv kumbe bado unaendelea nae?Habari ya weekend, umepishana na carba
Hahaha shemeji bhana hata sasa bado hujachelewa.Ungesema mapema ningekuja
Carba hv bado hujajiweka mbali na andjul eeeh, sasa ntachukua likizo kwaajili yako.Dont drink and drive
Good afternoonstargirl, ISIS, ddam, miss chagga
miss natafuta.....
Na nimeshaipokeaSalamu yako imefika
Salamu zimefika ila.......msalimie nsamaka