Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anaelewa maana ya mahari na masharti yake? Na ni majukumu gani hayo anayotaka kukupunguzia?

Kama anataka ng'ombe wake, mweleweshe kuhusu concept nzima ya "gujimula" na huwa inatokea wakati gani.
Majukumu ameomba yeye mwenyewe yapungue.Tangu lini kwenye kumekuwa na "revaluation"? Atabaki na jukumu la ndoa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…