Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Imagine. Mtu unaogopa kuwa happy...
acdf3c3a0fafa0a17a6333009f1bec5c.jpg
 
Anaelewa maana ya mahari na masharti yake? Na ni majukumu gani hayo anayotaka kukupunguzia?

Kama anataka ng'ombe wake, mweleweshe kuhusu concept nzima ya "gujimula" na huwa inatokea wakati gani.
Tulianzia hapa, nilimwambia inabidi aongeze mahari maana majukum sasa yameongezeka. Akasema km hivyo eti bora apunguze ili majukum yapungue.
 
Tulianzia hapa, nilimwambia inabidi aongeze mahari maana majukum sasa yameongezeka. Akasema km hivyo eti bora apunguze ili majukum yapungue.
Majukumu gani yaliyoongezeka? Na tangu lini mahari ikawa proportional na majukumu? Huyu mnamahanga vipi? Tulimtoza ng'ombe wengi kwa sababu ya ulimbwende wako, usomi wako, tabia yako njema, weupe wako na ukoo bora unaotoka. Haya mengine ya majukumu ni mbwembwe tu. Kama amekuchoka aseme abwage manyanga aje "ajimule". Kila mwaka aliokaa nawe tutakata ng'ombe wanne na kila mtoto mliyezaa tunamainazi ng'ombe sita. Watakaobaki ndo atachukua!
 
Back
Top Bottom