Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwema mkuu. Jumamosi yako inaendeleaje?
Kwema mkuu. Jumamosi yako inaendeleaje?
Umemezwa na samaki [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Siku nne nije home hoi halafu niseme bebi nilikuwa nimemezwa na samaki utanielewa kweli? Wanawake wa zamani walikuwa tofauti sana!
Umemezwa na samaki [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Unafurahia nyodo alizomwagiwa mwanaume mwenzako? Umesahau kuwa alidhamiria kumpa kesi ambayo hukumu yake ni kati ya miaka 30 mpaka kifungo cha maisha? unamuamini mwanamke ambaye alionyesha mwenendo usiofaa kama mwanandoa. anadai mumewe alikuwa hamtoshelezi. je adhabu ilipaswa kuwa ile kesi mbaya ya kutunga? Huyo mama haaminiki.Juzi kwa mara yakwanza ndio nilimsikia kanyewa mdomo wote kwisha. Kumbe Madam alikuwa anamnyamazia tu
Amenyanyaswa sana. Alipewa mpaka kesi ya kutunga ambayo ingeweza kumpa hukumu ya miaka 30 au maisha jela. Hawa wanawake hawa, daaa!!!Kadhalilishwa sana huyu jamaa. Mara goigoi kitandani. Mara hana pesa. Mara kipaji cha uimbaji zero. Mara...Kosea kujenga aisee lakini usikosee wa kuoa!