Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kifo
Ntakuelewa simba ila[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Siku nne nije home hoi halafu niseme bebi nilikuwa nimemezwa na samaki utanielewa kweli? Wanawake wa zamani walikuwa tofauti sana!
Na muendelee vivyo hivyoooo !!!Salama mkuu. Huku na nsamaka hatuna tatizo
Tandabui kichwa kichafuNa muendelee vivyo hivyoooo !!!
Wenger si atazimia?Arsenal nane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntakuelewa simba ila[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
AMUN RAAMUN RA
Mkuu wa SHIMBA WA BUYENZE habari yakoHapana shemeji. Wazungu hawa wana mambo ya ajabu sana. Hapo akienda kujibamiza kwenye miamba huko utaona helikopita hata tatu na waokoaji kibao zinakwenda kumtafuta. Sisi ukifanya ujinga huu unalo...