Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nikifuga huyu spider hapa Bongo nitapiga hela balaa. Hii ni fursa kabisa hii dah!
Ndo hivyo. Ukikosea kuoa unalooooooo !!!Amenyanyaswa sana. Alipewa mpaka kesi ya kutunga ambayo ingeweza kumpa hukumu ya miaka 30 au maisha jela. Hawa wanawake hawa, daaa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utundu kitandani utukuzwe
FixManchester United wanataka kuwazidi kete Dar es Salaam Young Africans katika kumsajili Renato Sanches kutoka Bayern Munich.
Anataka ng'ombe baadhi zirudi kwa kuwa anataka kunipunguzia baadhi ya majukumu.Anasemaje huyu Andjul?
Mkuu habari yako, nipo nyuma yenu nakupeni likes za kutoshaSiku yetu inaelekea mwisho
FixManchester United sasa wameelekeza nguvu zao kumtaka beki wa kulia wa Dar es Salaam Young Africans, Juma Abdul, 24, kutokana na kusuasua kwa mipango ya kumsajili Fabinho, 23, kutoka Monaco.
Uongo[emoji3] [emoji3]Liverpool wamesema Simba Sports Club wanapoteza muda wao kutaka kumsajili Philippe Coutinho, 25.
Hiyo ni kweliManchester City wapo tayari kumfanya Gadiel Michael, 23, kuwa beki ghali zaidi duniani kwa kumsajili kutoka Azam FC.