Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Majukumu gani yaliyoongezeka? Na tangu lini mahari ikawa proportional na majukumu? Huyu mnamahanga vipi? Tulimtoza ng'ombe wengi kwa sababu ya ulimbwende wako, usomi wako, tabia yako njema, weupe wako na ukoo bora unaotoka. Haya mengine ya majukumu ni mbwembwe tu. Kama amekuchoka aseme abwage manyanga aje "ajimule". Kila mwaka aliokaa nawe tutakata ng'ombe wanne na kila mtoto mliyezaa tunamainazi ng'ombe sita. Watakaobaki ndo atachukua!
Ye muache akizingua tunaenda tu kuchukua wale ng'ombe wa kahama tena wako tayari wanatusubiri.
 
Back
Top Bottom