Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
ho chi minh ni kaka yangu amenizidi miaka mingi sana sema hazeeki ila kipara tu ndio kinamsumbua maana kinakua kwa kasiHo chi Minh na Kichwa kichafu mtu na mdogo wake
Hee bora umekuja aisee ujibu mwenyeweHiyo ndio "depreciation" mama.
Kama zile ahadi zinazotolewagwa wakati uleee. Unaahidi kumnunulia mtu gari wakati we hata pikipiki huna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usitoe ahadi ukiwa na furaha wala usichukue maamuzi ukiwa na hasira.
Nipo hapa mkuu nipo nang'aa sharubu tu kama za pakaWapi kichwa kichafu
Kaka kasema hakirudi kitu tena na mchenya yaani faini itakuhusuMkifikia maamuzi unijulishe
Me mzima kabisa hofu juu yako,nilimiss uwepo wako hapaHabari za wewe shem wangu wa nguvu.
Mkuu kiongozi heshima yako
Unaweza kutolewa mkuku kutoka Masaki kumbe mtu ulikuwa ndani ya nyangumi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha duh sipati picha
I guess tuko kwenye same page!That's my MOTTO Mkuu.
Naona mnatengeneza web ya LIKESSpider web
YaoTandabui
Ye muache akizingua tunaenda tu kuchukua wale ng'ombe wa kahama tena wako tayari wanatusubiri.Majukumu gani yaliyoongezeka? Na tangu lini mahari ikawa proportional na majukumu? Huyu mnamahanga vipi? Tulimtoza ng'ombe wengi kwa sababu ya ulimbwende wako, usomi wako, tabia yako njema, weupe wako na ukoo bora unaotoka. Haya mengine ya majukumu ni mbwembwe tu. Kama amekuchoka aseme abwage manyanga aje "ajimule". Kila mwaka aliokaa nawe tutakata ng'ombe wanne na kila mtoto mliyezaa tunamainazi ng'ombe sita. Watakaobaki ndo atachukua!