mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ukwaju
17:5416:27
Na ugali wa muhogoMbaazi
Muhimu kwamba siongezi ng'ombe.Ahsante shemejiHayo mtajuana wenyewe lakini wazo la sijui kurudishiwa baadhi ya ng'ombe ulizotoa kama mahari hilo HALIPO!
Unakijua sawasawa? Mi chasaka lakini nakipenda sana. Ni lugha ya (wenye) pesa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeuwii
Nitaongea kichaga walahi!
Nimerejea mama ondoa hofu japo nilikuwa mbali ila nilikuwa nakukumbuka bibie.Me mzima kabisa hofu juu yako,nilimiss uwepo wako hapa
Na ugali wa mtamaKunde