Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Duuh naona mwili unasweat tu mdomo unakuwa kama nimebunda uji wa ulezi nashindwa kufunguka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ongea tu kichwa nakusikiliza
Cc andjulAmeshaelewa. Siku nyingine usibishane naye kuhusu haya mambo. Mwambie aje kwangu na nitamwelewesha vizuri tu. Nazijua mila za haya mambo a - z....
Umeona!! Kazi ipoo!! Ndugu zangu!BREAKING NEWS !
Tanzania imekuwa ya kwanza duniani kugundua uchochezi kwa kupima MKOJO wa mtuhumiwa !!
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaWe jichore tatoo ya demu wako mi nachora dili za hela
CleverKING"Hatujambo shkamoo Mwalim"
TeteeeTataaaa
MwenyekitiTungo
Basi twende kuongelea kibiti km hutajaliDuuh naona mwili unasweat tu mdomo unakuwa kama nimebunda uji wa ulezi nashindwa kufunguka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]