[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mdomo wangu umekuwa mzito naogopa kuongea hebu nisaidie[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahahaha konokono tayari badoTayari nimekula kila kitu kasoro sumu na mchanga[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Bahati iliyoje,mama wa kisukuma mahali popote alipo,hajui kuinua mkono dhidi ya mume wake,najivunia kuwa na mke kama nsamaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio mama huku ndio uwanja wangu wa kujidai na kiofisi changu hapa mambo yanakwenda safi kabisaHv kule ww ndio mwenyekiti wa kijiji eti ehhh?
Haya asante sanaNakukaribisha kwa furaha kubwa isiyo na kikomo kikomo chake ni pale ambapo hutokubali mualiko huu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
TimamuHaramu
Unashabikia kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mimi nasema apigweee tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nina mamlakaChair person