mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nice speed
Sema Coco. Siku nzima leo hujaonekana hapa. Kwema?Hello
Nina njaa ya likes
Ila hiyo avatar yako mama umenikamata kwa kweli hapo hat ukiniambia niuze kiwanja nauza sijengi kabisa carbamazepine [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]Hii avatar inanifurahisha sana
Hatari sanaThe GOAT !!!
Duu, kwenye mkutano usio rasmi!!Marais wa Kenya walipokusanyika pamoja!![]()
Tandabui ya kirumiTeh teh teh
[emoji124] [emoji124] [emoji124] walisemaaa,dalili ya mvua ni mawingu,niliye mpenda..[emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji443] [emoji445]Nakupa likes kwa hiyo avatar....inanikamataga sana macho.....[emoji6] [emoji6]
Duh humu ndipo watu wanajizolea Likes hata kwa kuandika nukta "."Hakuna neno ila tukiona post yako lazima tutwange likes.
Karibu mkuu
Nubian princess...