Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
HahahahahaSasa Uniq yuko huru kabisa hakuna ushindani wala nini. Ni kuponda raha tu mtindo mmoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaSasa Uniq yuko huru kabisa hakuna ushindani wala nini. Ni kuponda raha tu mtindo mmoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro ulishawai kulaWangeanzisha utaratibu huo aisee mtu unaweza kujikuta unalipa kabisa. Inakera sana. Kila ukifungua tu unakuta you have been banned. Dah!
[emoji23][emoji23]pole shemeji,nitairudisha ile mana miwani ilivunjikaHii avatar yako mpya shemeji yaani sijui kwa nini. Kila nikiiangalia yaani imekaa kishari shari fulani hivi. Mpaka nakosa amani kabisa. Najua huko mbele ya safari utairudisha ile ya miwani ya kikutubi....
HahahahahahaNa wewe pia! Oh! Kichwa Kichafu umetia nini kwenye hii avatar Mkuu? Mbona inawazingua warembo kihivyo? Nauliza tu Mkuu 🙂🙂
Haya chukua hiyo nyingine.Nina njaa ya likes
Andjul [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji124] [emoji124] [emoji124] walisemaaa,dalili ya mvua ni mawingu,niliye mpenda..[emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji443] [emoji445]
Nadhani inabidi nisepe nadhani malengo ya leo kamekamilika180k
[emoji7][emoji7][emoji38][emoji38]Ila hiyo avatar yako mama umenikamata kwa kweli hapo hat ukiniambia niuze kiwanja nauza sijengi kabisa carbamazepine [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]