Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Karate
Katika siku za karibuni Jukwaa hilo limekuwa kioja cha jf. Huko usishangae mchele ukaitwa chuya au chuya utalazimishwa uamini kuwa ni mchele!Hakuna jukwaa linalokera kama jukwaa la siasa sasa hivi, sijuii watu wana tumia MASABURI kufikiria!!!!!
Mpenzi watu waVipi tena??hiki kicheko kimenishtua
Niite nami nitakuitikia, nitakuonyesha mambo magumu usiyo yajuaYeremia 33:3
Poa tuko pamojaIlikuwa kufikisha 180k
Kweli mwanaTaratibu tu mzazi kutasonga
HahahahaKatika siku za karibuni Jukwaa hilo limekuwa kioja cha jf. Huko usishangae mchele ukaitwa chuya au chuya utalazimishwa uamini kuwa ni mchele!
Sent using Jamii Forums mobile app
Me 2View attachment 548251 I love my country TANZANIA
Mpenzi watu wa
Uzi huu wana chekesha sana
Sema Coco. Siku nzima leo hujaonekana hapa. Kwema?
AMUN RAMe 2
Lete misemo mamaaNaona mmekucha humu
Hahahahahaha visigino
Same here mkuuKweli mkuu kipendacho roho