Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Kabisa night kali anafanya yake.Hahahahahaha lol! umeona eeh! saa hizi anazuga kauchapa usingizi ili baadaye akafanye yake.
Kabisa night kali anafanya yake.Hahahahahaha lol! umeona eeh! saa hizi anazuga kauchapa usingizi ili baadaye akafanye yake.
Kama kawaLikes zaidi
HahahahaTukeshe bhana.
Bahati mbaya.bongo again
Na watch seriesTukeshe bhana.
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Nakuongeza zingine maana leo umenifanya kuwa happy sana
Bahati nzuriBahati mbaya.
Yeah.Hahahaha
HahahahaNdiyo maana sasa mtu akinirubuni ili kuniingiza kwenye ligi zisizo na maana hasa hizi za kutukanana aisee sikubali. Naepa kama Mayweather anavyokwepa mangumi ya mpinzani wake....
Teh teh tehUmeamua kurudi kwa lile jimama lililokua linakukonyeza jana??
Inaitwaje?Na watch series