Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
HSBC
The meanestThe baddest
Nipitie ili nami nikatoe hizi tongotongo zakijijini.
OwkyNakusubiri hapa kona
Nenda Christ church.umeona eeeehhh
Sio raha zote unaweza kujipa mwenyewe,raha zingine zinahitaji ushirikiano!
Nipo naserebukaHivi humu huwa hamtoki kuserebuka
Minister Louis Farrakhan katika ubora wake!Hakuna maana yeyote ya wewe kwenda spidi kama umesha potea njia!
How did you know thatKua muangalifu sana coz hata mashetani nao wana mabawa kama malaika!
Ushamba ni ile hali ya kushangaa jambo wakati wenzako wanaliona ni lakawaida tu!😀😀Eeeeeeeh
Sawa weeeeee nitagugo nizijue, ushamba umenijaaaa
Ni vizuri kuushinda uzi huu, JF na mtandao kwa ujumla. Ni uraibu wa hatari sana!
Hata ukifanikiwa 2020 utahitajika sana. Yote kwa yote tuombe uzima tu!
Msisitizo. Wakati mwingine kuna kununa. Na wakati mwingine kuna kupayuka!Kwanini tuna maandishi ya,
HERUFI KUBWA na herufi ndogo
Wakati maana ni ile ile tuu?!
[emoji482] [emoji482][emoji482] [emoji482]
22:5110:33
AMUN RA
Judge number 54
Nipo naserebuka