mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Post chochote upate likes
Afya kwa wote PwaniHamjambo Pwani
Afya kwa wote MorogoroHamjambo Morogoro
Hamjambo Arusha
Afya kwa wote kanda ya KaskaziniGood morning Kanda ya Kaskazini
Afya kwa wote TangaHamjambo Tanga
Afya kwa wote KilimanjaroHamjambo Kilimanjaro
Raha ipi inahitaji ushirikiano hahahahaSio raha zote unaweza kujipa mwenyewe,raha zingine zinahitaji ushirikiano!
Safi.. Tuwape likesNarudi nyuma kuwapa likes kwanza
Afya kwa wote kanda ya Nyanda za KusiniGood morning Kanda ya Nyanda za Kusini
Mayweather hatari undisputed champion hivi record yake ikoje nipe dataNdiyo maana sasa mtu akinirubuni ili kuniingiza kwenye ligi zisizo na maana hasa hizi za kutukanana aisee sikubali. Naepa kama Mayweather anavyokwepa mangumi ya mpinzani wake....
Kuna mida nilikuwa peke yangu tu.Sawee na Kaburungu nao chali. Ngoja nijivinjari hapa peke yangu. Thread nzima peke yangu. Mpaka raha yaani!