mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Maths sio mchezo kuna maformula mengi hatari naona wanasayansi ndio wanatumia tu sisi tulikariri tuMath nzuri lakini ufundishwaji wake sikuupenda. Pai hii ni muhimu sana na badala ya kugusiwa angalau umuhimu wake mtu unakaririshwa tu na ukizubaa ni mboko tu...