carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Ni siku nyingine tena
Kwahiyo kilichokupeleka ni matusi, daa..usikubali mitego ya watu hapaNdiyo maana sasa mtu akinirubuni ili kuniingiza kwenye ligi zisizo na maana hasa hizi za kutukanana aisee sikubali. Naepa kama Mayweather anavyokwepa mangumi ya mpinzani wake....
Labda ujasoma kiswahili

AiseeLabda ujasoma kiswahili
Bob 12 amefariki muda mrefu nasikia yuko mwanza
Hiyo ni sentensi sahihi kwenye kiswahili
Kufariki kwa mtu ni kutomwona kwa muda mrefu upeo wa macho yako
Hila ukisema Bob 12 amekufa hapo mkuu its over your are truly dead