Ha ha ha ww jamaa posts zako zinanifurahisha mno.Mpiga adhana si ajabu naye yuko hapa anafakamia likes...
Duh nimecheka sana amejiunga 2015 like 2 amshukuru jembekilo kwa Uzi huu like zakutosha amepataUmejiunga May 2015 lakini unalikes mbili tu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Na wewe pokeaHizo hapo mama angu.
Hatuji. Likes kwanza!Karibuni wote nyumbani kwangu kwa ajiri ya futari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mm huko simo bhana ,hayo mambo anayaweza bi FFKule shuleni mlienda kusomea...Malizia kabisa na kibwagizo hicho mkuu...
Hata Mimi kwanini umechange picha hapo mkuuNami nashangaaaaa
Take mine tooLikees
PokeaThread inakimbia sana, yaani ukimreply mtu tu basi ujue umeachwa page 2 kama sio 1.
Hakika, kila jambo liwe na mpika, visasi vya siasa viishie jukwaa la siasaMkuu usimfukuze, mpe maelekezo kuwa tumeletwa pamoja kwa ajili ya kupokea likes za kutosha bila hiana.
Mwanawane yako hiyo hapo[emoji106] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hamna! Chukua likes mwanawanne