mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Asante my Queen kwa ujasiri unaonipa hila viongozi wetu hawa dahTama mate chini!
Don't give up hope!
Tutafika tu na sisi!
Wao pia walikuwa worse!
Mark my words!
I AM IMMORTALOf course. You are a Goddess. You are not like us mortals!
Ina maana yupo kimya kimya mi nahangaika hapa ye kauchuna tu?Cole analike kimya kimya huku [emoji23][emoji23][emoji23]
Yupo kwao Bamangwato anakula mahindi ya kuchoma na zambarauHuyu wapi msouth africa
With hopeFight for what you believe in
Zambarau na Furuswadi.
Hata pazia likipigwa na upepo nalo linafuata upepo tu...Ni bora pazia kuliko bendera inayofuata upepo.
The one and onlyI can see! Sorry are you a Woman??
mbona mapemaaaa hivi mamiie???Niwatakie usiku mwema
Hahaha! Raggamuffin enzi za Shaba ranks na Chakademus.Murder she wrote
Acha mistariTafadhali, nipo chini ya miguu yako nakuomba uni like.
Kuwa na huruma nina shida ya like nyingi nami nijione mtu.
Leo ukini like mimi siku nyengine nitaku like wewe. Please usidharau nisaidie.